Tafsiri hii:

Posted April 27, 2012 by in Jokes and One-liners

Mke na mume walisikizana wakitaka ngono watatumia maneno " kupiga simu" ili watoto wasielewe
Basi siku moja walikua wakakosana hata hawasemezani.
Baba akamtuma mtoto: " mwambie mamako nataka simu!"
Mama akamwambia mtoto: " mwambie imeharibika!"
Baba akanena: " mwambie basi nitakwenda kupiga nje"
Mama akamtuma motto: " Mwambie akienda kupiga nje na mimi nitafungua simu ya jamii!!!"


Recommended For You »


Your Comments



blog comments powered by Disqus